DRCongo Wizara Ya Ushirikiano Wa Kikanda
WHO Yatoa Milioni 855 Kwaajili Ya Utafiti Wa Kitaifa Wa
Viashiria Vya Magonjwa Yasiyoambukiza
Shirika la Afya Duniani(WHO)kuipatia Tanzania fedha Za
kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya
utafiti wa kitaifa wa viashiria vya Magonjwa
Yasiyoambukiza(Steps Survey 2023)unaotarajiwa kuanza mapema
Agosti,mwaka huu nchi nzima Akiongea wakati wa uzinduzi huo
uliofanywa na Waziri wa Afya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Mhe.Nassor Mazrui jijini Dodoma,Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR)Prof.Said
Abood amesema fedha hizo zitazaidia kukamilisha zoezi hilo
kwa Tanzania Bara na Zanzibar.