DRC

DRC MKUU WA JESHI LA ARDHINI NA KAMANDA WA OPERESHENI ZA KIJESHI KIVU KASKAZINI NA KUSINI AOMBA WAKIMBIZI NA WAKAAZI WENGINE KUWA WAVUMILIVU KWANI KARIBUNI WATARUDI KWENYE VIJIJI VYAO

JANUARI 22, 2024
Border
news image

Katika mahujiano na MTVONLINE Luteni generali FALL SIKABWE mkuu wa jeshi la ardhini na kamanda wa operehseni za kijeshi katika mikoa miwili ya mashariki mwa DRC yaani Kivu Kaskazini na Kusini asema kwa sasa ameruhusu vikosi vya SADEC kuanza operesheni zake kwenye ardhi ya Congo na serikali itaenelea kuwaunga mkono katika juhudi zao za kuleta Amani nanusalama mashariki mwa Taifa la mzozo wa Muda mrefu.

Utafahamu kwamba jeshi la Congo kwa Muda mrefu limekuwa liki pambana na waasi wa M23 ambao serikali yasema wanaungwa mkono na taifa la Rwanda ,uasi unao pelekea mvutano kati ya Rwanda na DRC kuvutana kidiplomasia na uhusiano ukiwa mbaya kwa sasa .Marekani na ulayani ikiomba pande zote kujaribu kupunguza tashione kati ya mataifa hayo mawili .rwanda ikisema Congo inaweka waasi wake FDLR kwenye ardhi yake na DRC ikisema Rwanda inavaamia DRC kuiba mali ya Congo .

Kwa sasa mashirika ya kiraia ya kiraia ikisema watu milioni na Zaidi wamefariki Dunia wakiuwawa na Rwanda upande wa Congo tangu mwaka wa 1994 hadi sasa .Jumhia ya kimataifa ikiwa kimia kuhusu vita vya DRC wananchi wake wakiendelea kuwawa katika uangalizi wa mataifa ya kigeni hasa Ulaya na Marekani.

Kwa sasa waafrica wakiamua kutafuta suluhisho kwa mzozo huu ambao unaingiliwa hata na Umoja wa Matifa.

AM/MTVONILINE