Radio MTV News
Machi 27, 2025
07:00 Jioni
Ndege isio kuwa na rubani ya shambulia uwanja wa ndege wa walikale unao dhibitiwa na M23 Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo DRC
Machi 26, 2025
07:00 Jioni
Vyama vya upinzani vina muunga mkono Rais wa zamani vyasema havita shiriki serikali ya muungano inayo andaliwa nchini DRC
Machi 25, 2025
07:00 Jioni
Mwanamziki alie uwawa Mjini Goma Delkat Idengo aziwka na umati wa watu Mjini Beni Kivu Kaskazini
Machi 24, 2025
07:00 Jioni
Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumakamata Gavana wa Ituri hayo na mengine mengi fata MTV ONLINE
Machi 20, 2025
07:00 Jioni
Mach 20 2025 matangazo ya MTV ONLINE
Machi 19, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo yetu ya leo nikwamba Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda wakubaliana kusitisha mapigano mashariki mwa Congo.
Machi 17, 2025
07:00 Jioni
Rais Félix Tshisekedi azungumza na Bw. Ronny Jackson, Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani Donald Trump na mjumbe wa Bunge la Marekani Juma pili Mjini Kinshasa
Machi 12, 2025
07:00 Jioni
Muungano ya wanawake huko mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mji wa BENI kivu kaskazini yaomba jumuiya ya mataifa ku changia katita utafiti wa amani na usalama Nchi nakuacha unafiki katika mzozo kati ya serekali ya KINSHASA na jamhuri ya RWANDA
Februari 27, 2025
07:00 Jioni
Watu zaidi ya kumi wauawa katika shambulizi kali la Bomu baada ya mhadhara wa kiongozi wa waasi wa M23 jijini Bukavu.
Februari 19, 2025
07:00 Jioni
Wanawake wakimbizi walio pata ifadhi katika mji mdogo wa LUBERO Kivu Kaskazini walalamikia hali duni ya maisha wanao pitia tangu kuripuka kwa vita.
Februari 18, 2025
07:00 Jioni
Wanawake wanakabiliana na tatizo la FISTULA ambayo insababishwa na tiba mbaya wakati wa kujifungua na wengi kutokana na ubakaji ama kushambuliwa kwa risasi na watu wenye silaha. Baadhi ya wanawake hao wamebahatika kwa kupewa tiba ya bure na hospitali ya Heal Africa Mjini Goma.
Februari 17, 2025
07:00 Jioni
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amekemea uingizwaji wa bidhaa nchini kwa njia za magendo akisema hilo linaisababishia serikali upotevu wa mapato na kuathiri pakubwa viwanda vya ndani.
Februari 12, 2025
07:00 Jioni
Hali ya kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ikiendelea kua ngumu siku baada ya siku, raïs mustaafu Joseph Kabila kupitia chama chake PPRD cha pinga wazo lolote la mazungumzo. Ferdinand Kambere naibu katibu mtendaji wa chamba hicho ameimbia vyombo vya habari nchini DRC.
Februari 11, 2025
07:00 Jioni
Nchini kenya watu nne wa tekwa nyara na watu wenye silaha wanao dhaniwa kua ni wakundi la alshabab.
Hii yatokea wakatika raïs William RUTO wa nchi yio akiwa ziarani.
Februari 07, 2025
07:00 Jioni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI nchini tanzania Mohamed Mchengerwa amemtaka Katibu Mkuu TAMISEMI kufanya mapitio ya Sheria ya kuanzishwa kwa makao makuu ya nchi, iingie bungeni kabla ya kuvunjwa kwa Bunge mwaka huu kwa kuwa bado haijapelekwa bungeni.
Februari 05, 2025
07:00 Jioni
Umoja wa Matifa watangaza kuwa watu zaidi ya elfu tatu walipoteza maisha kwakupigwa risasi Mjini Goma na uchunguzi bado ukiendelea
Februari 04, 2025
07:00 Jioni
Mashirika ya kiraia na asasi zisizo za kiserikali mashariki mwa DRC yasema kutokuona mabadiliko yoyote tangu yamefanyika marekebisho ya viongozi wa kijeshi katika ngazi zote uku waasi wakizidi kuzibiti miji muimu Kivu kaskazini na kusini.
Februari 03, 2025
07:00 Jioni
Raia wa mji wa Beni waandamana leo hii january 3,2025 kwaku pinga uvamizi wa jeshi la RWANDA na washirika wake wa M23. Hii ni baada ya mji wa Goma mji mkuu wa mkoa wa KIVU KASKAZINI kuangu mikononi mwa jeshi lwa rwanda RDF na waasi wa M23.
Januari 28, 2025
07:00 Jioni
Raia wa Mjini wa KINSHASA mji mkuu ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo waliandamana hii jumanne january 28,2025 kuonesha niya yao yakuunga mkono jeshi la CONGO FARDC linalo kabiliana na jeshi la RWANDA mjini goma,huku ekulu ya balozi wa ufaransa,rwanda,Ubeljiji,marekana na Uganda zikichomwa moto.
Januari 23, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la Congo SADC na KIKOSI cha Umoja wa Matifa MONUSCO vimelazimika kutumia silaha nzito nzito na kuweka ulinzi mkali kwenye maeneo kadhaa kwa ajili ya ulinzi wa Mji wag Goma amba leo hii umetishiwa na waasi wa M23 ambao walichukuwa mji wa sake kwa saa za asubui na kembi ya kikosi cha SADC kilicheko Sake magharibi mwa mji wa Goma .
Januari 22, 2025
07:00 Jioni
Wasiwasi yaendelea kudhidi katika maeneo tofauti mkoani kivu Kaskazini na kusini hasa katika Miji ya Goma Na Bukavu baada ya waasi M23 kuudhibiti mji mdogo wa MINOVA; gavana wa kivu Kaskazini meja général PITER CIRIMWAMI aomba raia wa GOMA kutulia kwani serekali ya KINSHASA imechukua mikakati waku linda mji huo na raia.
Januari 16, 2025
07:00 Jioni
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ya adhimisha miaka 24 tangu auliwe raïs LAURENT DESIRE KABILA katika ekulu ya Urais jijini KINSHASA munamo january 16,2001.
Wananchi wa DRC waadhimisha kumbukumbu hio katika uzuni wakati pale rais Laurent Désiré Kabila alikua rais wa kwanza alie onekana kutumika kwa maslaha ya wa congo na maendeleo ya taifa lao. Laurent Désiré Kabila aliingia madarakani munamo mei 17,1997 baada yaku mukimbiza rais aliye kua na sifa ya udikteta barani afrika MOBUTU SESESEKO wazabanga hapo mbeleni rais wa jamhuri ya ZAÏRE.
Januari 15, 2025
07:00 Jioni
Jumuiya ya kikabila jimboni Kivu Kaskazini yaomba raia kuunga mkono juhudi za Jeshi la Congo FARDC na wapiganaji Wazalendo
Januari 09, 2025
07:00 Jioni
Serikali za Kenya na Uganda zimeanzisha mpango wa pamoja kutatua masuala ya mipaka ili kuimarisha ushirikiano katika shughuli za mipakani na kukomesha usafirishaji wa silaha haramu, uhamiaji haramu na mizozo ya maliasili miongoni mwa jamii zinazoishi karibu na mipaka.
Januari 08, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la Congo DRC likishirikiana na wapiganaji Wazalendo wamefanikiwa kuwafurusha waasi wa M23 wanao pata msaada kutoka Jeshi la Rwanda tangu asubbui ya leo juma tano janwari 2025.