MTV Radio Jioni

Muungano ya wanawake huko mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mji wa BENI kivu kaskazini yaomba jumuiya ya mataifa ku changia katita utafiti wa amani na usalama Nchi nakuacha unafiki katika mzozo kati ya serekali ya KINSHASA na jamhuri ya RWANDA.

MACHI 12, 2025
Border

| Germaine Hassan Kyahwere

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio