Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ya adhimisha miaka 24 tangu auliwe raïs LAURENT DESIRE KABILA katika ekulu ya Urais jijini KINSHASA munamo january 16,2001.
Wananchi wa DRC waadhimisha kumbukumbu hio katika uzuni wakati pale rais Laurent Désiré Kabila alikua rais wa kwanza alie onekana kutumika kwa maslaha ya wa congo na maendeleo ya taifa lao.
Laurent Désiré Kabila aliingia madarakani munamo mei 17,1997 baada yaku mukimbiza rais aliye kua na sifa ya udikteta barani afrika MOBUTU SESESEKO wazabanga hapo mbeleni rais wa jamhuri ya ZAÏRE.
JANUARI 16, 2025
| Tryphone Odace
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio