MTV Radio Jioni

Jeshi la Congo DRC likishirikiana na wapiganaji Wazalendo wamefanikiwa kuwafurusha waasi wa M23 wanao pata msaada kutoka Jeshi la Rwanda tangu asubbui ya leo juma tano janwari 2025 .

JANUARI 08, 2025
Border

| Germaine Hassan Kyahwere

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio