Muthafara wa kikosi cha kulinda amani nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo MONUSCO kimeripotiwa kuanguka katika nyavu ya kundi la waasi wa CODECO jioni ya jana alkhmisi katika wilaya la DJUGU mkoani ITURI mashariki mwa CONGO. Duru zetu zadai kwamba kuna askari mmoja wa UN alijeruhiwa katika makabiliano ya risasi kati ya CODECO na askari wa MONUSCO.
AGOSTI 30, 2024
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio