MTV Radio Jioni

Mapambano makali kati ya muungano wa Fardc wazalendo na waasi wa M23 ya ripotiwa tangu asubui mapema ya hii alhamisi 30 mei mwaka wa 2024 huko kwenye milima ya kimoka Sake wilayani Masisi na jeshi la SADC Ku chambiliwa na M23.

MEI 30, 2024
Border

| Tryphone Odace

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio