MTV Radio Jioni

Zaidi ya watu 10 wamefariki kwenye gereza la kakwangura mujini Butembo mwezi octoba,2024

Visa vya vifo huendelea kutangazwa kwenye gereza la kakwangura jijini butembo mwezi octoba.shirika linalotetea haki za binadamu REDHO kwa ufupi limetangaza vifo vya watu 11 waliofariki kwenye gereza hiyo.Idadi hiyo ikipelekea kuripoti watu 82 idadi ya watu waliofariki Tangu mwezi january 2024.

SEPTEMBA 29, 2023
Border

| Tryphone Odace - AM/MTV DRC

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio