MTV Radio Jioni

Hali ya wasi wasi yaendelea Ku dhidi Katika Mji mdogo Wa KANYABAYONGA, Wilayani LUBERO KIVU KASKAZINI.hali hio ya zuka baada vita kali Kati ya Jeshi la serekali ya Congo Na kundi la magaidi Wa M23 kwaushirikiano Na Jeshi la Rwanda RDF kando kando mwa Kijiji hicho.

MEI 28, 2023
Border

| Nadege Kahindo

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio