MTV Radio Jioni

Shirika la Viwango Tanzania TBS limeteketeza bidhaa mbali mbali zenye uzito wa tani 3.6 zikiwa na thamani ya Shilingi milioni 34 zikiwemo vyakula, vipodozi vyenye viambata vya sumu, nguo za ndani za mitumba na vilainishi vya magari mkoani Kigoma na kutokana na kutokidhi viwango vya ubora na kuingia nchini kinyume cha sheria.

JUNI 24, 2024
Border

| Nadege Mulemba

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio