Naibu Wa Rais Wa Kenya Aliyeondolewa Mamlakana Amemshtumu Rais William Ruto, Akimtaja Kama Mkatili. Gachagua Alitoa Maneno Hayo Baada Ya Kuondoka Hospitalini, Ambako Alikuwa Amelazwa Tangu Alhamisi Wiki Jana.
OKTOBA 22, 2024
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio