Mashirika ya kiraia na wakaazi wa wa Eringeti na Kainama wilayani Beni waomba muungano wa jeshi la UPDF na FARDC ya Congo kuhudumisha usalama katika barabara Beni Bunia .hii ikiwa baada ya mashambulizi ya gari ya abiria .
NOVEMBA 19, 2024
| Tryphone Odace
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio