MTV Radio Jioni

Mapigano makali yameripotika kati ya jeshi la serikali ya Congo FARDC wakishirikiana na vijana wazalendo dhidi ya M23 pembezoni mwa Mji wa Kanyabayo ,kanyabayonga ikiwa na sehemu moja wilayani Ruthsuru na sehemu nyingine wilaya ya Lubero

JUNI 19, 2024
Border

| Germaine Hassan Kyawere

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio