Mashariki zinozo tetea haki zabinaadam nchini jamhuri yakidemokrasia ya Congo za tangaza ku ridhika kwa hatua muhimu ambae imechuliwa na mahakama makuu ya ICC kutoa nia yakuja kufatilia kwa karibu visa vya mauaji mashariki mwa Congo katika mkoa wa kivu kaskazini.
OKTOBA 16, 2024
| Gisele Kahimbani
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio