Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema sekta ya uvuvi inaingiza mapato ya Sh. Trilioni 2.94 kwa mwaka na imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 1.9 kwa mwaka.
Ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masuala ya Uvuvi, Bahari, Maziwa na Mito ulioanza leo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
SEPTEMBA 12, 2024
| Gisèle Kahimbani
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio