MTV Radio Jioni

Rais wa kenya William Ruto amevunja baraza lake la mawaziri pamoja na kumuondosha madarakani mwanasheria mkuu. Agizo hilo limetolewa leo, na limeanza kutekelezwa mara moja.

JULAI 12, 2024
Border

| Germaine Hassan Kyawere

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio