MTV Radio Jioni

Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Mkoa wa Kivu Kaskazini lalaani ukiukaji wa usitishaji vita wa wiki mbili Na Waasi Wa M23 kwakuhudumia Wa wakimbizi Wa ndani Wa vita uliopendekezwa na umoja Wa mataifa ivi majuzi.

JULAI 11, 2024
Border

| Tryphone Odace

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio