Ijapa kuwa tarehe 02 septembra kumeweza ku anjishwa rasmi mwaka wa masomo inchini jamhuri ya kidemokrasiayaCongo, wanafunzi waendelea kubaki nyumbani kufuatana Na mgomo wa waalimu wanao endeleya kuomba haki yao, Na kuongezwa kwa mushahara wao na serekali ya Kinshasa.
Leo ikuwa tayari wiki moja Tangu masomo ianjishwe, lakini waalimu bado wakiendele na mgomo wao..
SEPTEMBA 10, 2024
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio