MTV Radio Jioni

Idadi ya watu wanao endelea kuwawa na wapiganaji wanao dhaniwa kutoka Kundi la ADF wilayani Beni yadhidi kuonegezeaka kila siku ,wakaazi wakisema kwa sasa ni watu Zaidi ya msamanini (80) ambao mili yao imeshapatikana na wengine bado ikiwa haijulikane wapi walipo baada ya kutekwa na wapiganaji wanao dhaniwa kuwa ADF

JUNI 10, 2024
Border

| Nadege Mulemba

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio