Leo ni siku ya pili ya mgomo ilioitishwa na kundi la vijana mjini Beni kivu kaskazini.
Baadhi ya duka zime funga mlango,shughuli za usafirisaji sio kama kwaida, vijana wakiwa na mijeledi pia na mawe kua wakitisha raia naku lazimisha wanabiashara kufunga bidhaa vyao. Vijana hao wakiwa wame jiunga kwa pamoja, waomba viongozi wa serekali hasa sana wa mahakama kuwaacha huru baadhi ya watetezi wa haki za bin Adam ambao waendelea kushikiliwa katika gereza na wengine kufikishwa hadi katika mji wa goma.
OKTOBA 08, 2024
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio