Serikali katika Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Nchini Tanzania imetolea Ufafanuzi suala za ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Chekenya kata ya Kurugongo ambayo ilisajiliwa wakati ujenzi wake ukiwa bado haujakamilika.
SEPTEMBA 06, 2024
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio