Tume huru ya uchaguzi CENI nchini DRC ya tangaza Ku hairisha uchaguzi wa ma gavana Na seneti Katika mikoa ya Kivu kaskazini Na ituri ; hatua hii ime vutia hisia tafauti za wana siasa Na Raia wa maeneo.
Februari 06, 2024
RADIOTITLETODAY
| Germain Hassan
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio