MTV Radio Jioni

Watu zaidi ya kumi na tano wauwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni ADF katika Kijiji cha Masau wilayani Beni hii imepelekea wakaazi Ku kimbia makaazi yao waki hofia maisha yao

JUNI 05, 2024
Border

| Nadege Mulemba

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio