MTV Radio Jioni

Hali ya wasiwasi yaendelea Ku ripotiwa wilaya ya LUBERO KIVU KASKAZINI mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufatiya mapigano inayo endelea kati Waasi Wa M23 Na Jeshi la Congo FARDC kaskazini

JULAI 01, 2024
Border

| Tryphone Odace

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio