DRC/BENI

Muungano Ya Jeshi La DRCongo FARDC Na La Uganda UPDF Ya Waruhusu Wananchi Ku Fanya Shughuli Zao Katika Bonde La Mughalika Wilayani Beni Baada Ya Usalama Ku Dhibitisha

JULAI 28, 2023
Border
news image

Vikosi vya pamoja vya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo FARDC na jamhuri ya Uganda UPDF vya ruhusu wananchi kurejelea kwa maranyingine shughuli zao za mlimo katika vijiji vilivyo kua vime tekwa na wapiganaji kutoka kundi la ADF katika bonde la MUGHALIKA usultani wa BASHU,wilayani BENI kivu kaskazini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Kanali MAK HAZUKAY msemaji wa vikosi hivyo katika operesheni za pamoja kati ya jeshi la DRC na UGANDA ame amesema julai 28,2023 kua hatua hio imechukuwaliwa baada ya mabadiliko ya hali ya usalama inayo onekana kubotezhwa na kua tulivu, mbali na haya, jeshi lileimba wananchi kua makini na kutoka taarifa yote na kutoka ushirikinao na FARDC-UPDF Kwani bado waasi hao wapo porini wakitumia un janja katika hali yaku tega mitego dhidi ya raia.

Germain Hassan Kyahwere - Mtv/Beni