DRC

zaidi ya waendesha pikpiki Ishirini 20, wateja wao, wasaidizi pamoja na wafanya kazi kutoka mashirika ya kibinadamu waliokuwa ndani ya gari zao na watumiaji wengine wa barabara wakitokea Bukavu kuelekea Bunyakiri waporwa mali yao

AGOSTI 28, 2024
Border
news image

Taarifa kutoka mashirika ya kiraia pa Kalehe Mkoa wa Kivu Kusini pamoja na wengine kutokea vijiji vya Bunyakiri kwenda Bukavu wamekumbwa na wizi baada ya kuangukia mikononi mwa watu wenye silaha walio wavaamia barabarani hii Jumanne Agosti 27, 2024. kwenye barabara ya kitaifa nambari 3 karibu na lango la Kalonge.

Simu nyingi za watu kubebwa , kompyuta, bidhaa za thamani kuchukuliwa na majambazi ambao walitoweka hewani baada ya uhalifu wao akisema Delphin BIRIMBI,rais wa ofisi ya Uratibu wa Mfumo wa Ushauri wa Eneo la Jumuiya ya Kiraia ya Kalehe "CCTSCkalehe" na mratibu Mkuu wa shirika la Ensemble pour la Promotion des Droits Humains “EPDH Asbl” na,mtaalam katika Utawala wa Usalama.

Shirika hizo zikiomba serikali kuwahudumia wazalendo walieko eneo hilo kwa haraka.

AM/MTV News DRC