Akizungumuza na ujumbe wa wabunge wanao keti katika Bunge la Ulaya, julien Paluku waziri wa biashara ya njee aomba Bunge hilo kuchukuwa hatua kuhusu madini ya mashariki mwaa Congo DRC ambayo imekuwa chanzo cha vifo na mateso ya wananchi wa eneo hilo la Africa ya kati.
Kahongya alisema madini hiyo inachangia changia katika kosefu wa utulivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa zaidi ya miaka 30 na kusababisha maelfu ya vifo vya watu, wakiwemo wanawake na watoto.
Wakati wa kikao na wajumbe wa EU Paluku ameliengazia sababu kuu za mgogoro na ukosefu wa usalama wa binaadamu mashariki mwa DRC kwa zaidi ya miaka thelathini, ikiwa pamoja na madini inayo shafirishwa nje na Taifa na rwanda bila taifa hilo kuwa na eneo linalo zalisha madini aina hiyo asema Julien Paluku.
Mkataba wa maelewano kuhusu madini ya kimkakati ambao Umoja wa Ulaya ulikuwa umetia saini na Rwanda ambayo leo hii inaishambulia Jamhuri ya Kidemokrasia kwa mjibu wa Umoja wa mataifa, lazima ufutiliwe mbali, kwa sababu hakuna ufuatiliaji halisi na madini hayo inayo toka eneo zenye migogoro, Ujumbe wa EU ukiongozwa nae Thierry Mariani.
Wizara ya biashara ya njee ikiomba kuwe na utaratibu fulani kwa ajili ya kuuza madini inayo toka katika mjimbo ya mashariki mwa Congo DRC.