Morocco na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yakusudia kuandaa kikao kuhusu mabadilishano ya uzoefu wa katika miradi ya maendeleo Septemba ijayo, asema Balozi balozi wa Morocco nchini Congo DRC.
Jumanne .H.E Muhindo Nzangi Butondo mkuu wa sekta ya maendeleo vijijini alidokeza kuwa mkutano wao ulilenga kuunga mkono uhsirikiano wa Morocco na DRC katika secta mbali mbali za maendeleo vijiji ili wananchi wa Congo na wale wa Morocco wajenge uhusiano bora ,Congo ikiwa taifa ambalo lina uwezo mkubwa wa kujikwamua kiuchumi katika ulimwengu wa leo ambao walenga maendeleo kuanza vijijini .
Nzangi amesema Morocco ni mshirika wa kutegemewa kwani wana uzoefu wa kutosha katika miradi mbali mbali ya maendeleo kama kilimo,umeme na miundombinu Alifafanua Bw. Rashid AGASSIM Rura Balozi wa Morocco nchini Kongo.
Wananchi mashariki mwa Congo kwa uapnde wao waomba waziri kukuza kilimo na kutengeneza barabara kwenye vijiji pamoja na kuweka umeme na daraja kwenye mikoa iso na barabara.