DRC

Waziri wa biashara ya nje aendesha mkutano wa kifundi na balozi wa marekani kuandaa mkutano wa AGOA kinshasa 2025

SEPTEMBA 17, 2024
Border
news image

Waziri wa biashara ya njee aendesha Mkutano wa kiufundi na Balozi wa Marekani nchini DRC katika juhudi za kuandaa mkutano wa AGOAutakao fanyika mjini Kinshasa 2025.

Kwa kufanikisha mkutano wa AGOA-2025 Mjini Kinshasa, Waziri wa Biashara ya Kigeni Julien Paluku anafanya mikutano zaidi ya kiufundi.

Julien Paluku Kahongya alizungumza Jumatatu hii mjini Kinshasa na Balozi wa Marekani aliyeidhinishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lucy Tamlyn akiambatana na wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani-USAID. Paluku amesema mkutano huu ni katika harakati za kuweka ushirikiano kati ya Kongo mataifa mengine kwakukuza biashara na uhusiano bora.

AM/MTV News DRC