TANZANIA

Watanzia wakerwa rais wao kutukanwa

Aprili 14, 2024
Border
news image

Watu mashuhuri na wananchi nchini Tanzania wameungana kukemea vitendo vya baadhi ya watu kumsema vibaya na kumdhalikisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nakusema kitendo hicho mamlaka husika ichukue hatua kali dhidi ya wqtu hao kwani kama vitaachwa viendelee vitaharibu Amani ya nchi.

Watu hao wameyabainisha hayo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo ndipo kuna jumbe mbalimbali ambazo zinachafua jina na hadhi ya Rais Dkt. Samia.

Kama taifa limeungana kwq pamoja kukemea vitendo hivyo kwa nguvu moja na wengine wameenda mbali zaidi kwa kutaja majina yanayohusika na hujuma hizo ambao wengine wapo nje ya nchi ya Tanzania na wengine wapo ndani ya nchi hiyo. @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @baba_keagan

MTV Tanzania