Akizungumuza na Mtivi akiwa mashambuni kwenye vijiji vya Masereka na Kipese Injinia Paluklu Yeye Eloge mtaalamu wa kilimo anae shirikiana na shirika la wakulima SYDIP asema kwa sasa wakulima lazima kuzingatia na kuwasikiliza wataalaamu wa kilimo ambao wana uzoefu wa milimo mbali mbali katika eneo za Baridi kali .
Hii ikiwa kuna wakulima kwenye milima mirefu wilayani lubero ambao hujihusisha na kilimo cha Vyazi mbatata kwa muda mrefu na mazao yao ikiwa imepingua kwa kiasi kikubwa kutokana na udogo kuchoka ,lakini watalaamu wakisema na utumia mbaya wa mboleo ambayo yaweza saidia wakulima .
Wakulima hata hivyo wameombwa kuingatia hali na mabadiliko ya hali ya hewa yaani mazingira wanapo fanya miradi yao ya kilimo.wengi wakisema hatua kama hii ya kuwapa elimu mpya wakulima itasaidia sana kwa wakulima wilayani Lubero Pamoja na mashirika inayo washinikiza wkaulima kuboresha mlimo na mazao .