DRC BENI

WASIWASI MIONGONI MWA WAKAAZI WA BENI KUFATIA MASHAMBULIZI YA ADF.

March 01, 2024
Border
news image

Kwa mjibu wa Raia wa MAVIVI,mlio ya risasi ulisikika usiku wa Alhamisi Februari 29 hadi Ijumaa Machi 1, 2024 Katika kata la NZUMA kilometa 12 kaskazini mashariki mwa Mji wa BENI, mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Huku ADF ikishutumiwa kuhusika n'a mashambulizi hayo ya kigaidi kundi linalo kuwa na ushirikiano na islamic state walishambulia tena mji wa Beni naku waua Raia 3 na wengina 3 kujeruhiwa vikali baada ya kukatwa Na mapanga wakisema wakaazi wa kataliko husika , majeruhi wamelazwa katika kituo cha afya kwa ajili ya huduma muhimu.

Shambulio lingine lili zuuliwa na jeshi la FARDC karibu na uwanja wa ndege wa BENI-MAVIVI Kulingana na vyanzo vya kijeshi.

Kwa mujibu wa msemaji wa operesheni za kijeshi SOKOLA 1eneo la BENI, kapteni ANTONY MWALUSHAYI MBOMBO.

Asubuhi ya ijumaa march 1,2024 Raia walio kuwa na hasira kali wali funga barabara Naku andamana kwakuomba viongozi wa serekali ya DRC Ku maliza hali ya mauaji inayo endelea kushuhudiwa wilayani Beni kwa sasa ikiwa miaka zaidi ya 10.

jeshi Polisi wa DRC Kwa ulinzi wa Raia walijaribu kuwa tawanya kwakupiga risasi angani baada ya wanajeshi wa MONUSCO Kujaribu pasipo kufanikiwa.

Utafamu kwamba hadi kipindi hiki,usalama mdogo umerudi eneo la tukio Ila Raia wengi waendelea Ku Hama makaazi yao ku hofia maisha,wengine wajielekeza Katika Mji jirani wa BENI Na jijini BUTEMBO jiji ambalo la patikana kusini mwa Mji wa BENI ikiwa kilometa zaidi ya hamsini 54.

GERMAIN HASSAN KYAHWERE,MtvDrc online