DRC

Washukiwa wa Mapinduzi ilioshindwa mwezi Mei Mjini Kinshasa unaendelea Jumatatu hii katika Gereza la Kijeshi la Ndolo

JULAI 22, 2024
Border
news image

Gereza la kijeshi la Ndolo, kaskazini mwa Kinshasa, linajiandaa kuwa mwenyeji wa kusikilizwa kwa wahusika wa mapinduzi ya serikali ya Mei 19. Mbele ya mahakama ya kijeshi ya Kinshasa/Gombe, washtakiwa 51 wana shtakiwa kwa mashambulizi, ugaidi, umiliki haramu wa silaha na zana za kivita, jaribio la kuua, njama za uhalifu, mauaji na ufadhili wa ugaidi.

Utafahamu kwamba alie kuwa akiongoza uasi huo aliwawa wakati wa Makabiliano Mjini Kinhsasa siku zilizipita ,wafuasi wake na marafiki wakiwa ndio wanaendelea kusikilizwa kwa sasa.

Kwa mara kadhaa kumeshuhudiwa majaribio ya mapinduzi ya kisiri ,hili likiwa Moja lakujitokeza .wananchi wa Congo wakiomba wahusika wa mbali kama vile wa karibu kukamatwa.

AM/MTV News DRC