DRC

DRC /wanawake washerekea siku ya wanawake katika vita KIVU KASKAZIN

MACHI 08, 2024
Border
news image

Mach nane kila mwaka Ulimwengu washerekea Siku kuu ya wanawake ,huku kila taifa likiwa na changamoto zake.

MTVDRC Online imetembelea wanawake walio kimbia makaazi yao kutokana na vita vya waasi wa m23 na jeshi ya Congo wanao ishi katika kambi ya Kayembe Ilayani Nyiragongo.

Wanawake Hawa wasema hawata sherekea siku kuu hii kwani wanaisha maisha ma baya sana kambini ambako wapitia hali ngumu ya maisha vijiji vyao vikiijaliwa na waasi wa M23 hukuwakiomba kurudi nyumbani kwao.

Katika kambi ya Kayembe wilayani Nyiragongo wanawake wengi wasema ku teseka kama Sifa bika ni Mwanamke ambae tuli zungumuza naye katika kambi hii ya kayembe.

Wengine wakiomba serikali ya Congo ku maliza vita ili waweze ku Rudi kwao na kuendelea na maisha yao ya kawaida.

iku kuu hii ya Mwanamke duniani ijafika wakati wanawake wengine wapitia changamoto hasa hapa mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo hij ni kutokana na vita vinavyo endelea huko na kula mashariki mwa Congo na ku pelekea wanawake wengi ku bakwa na watu wasio julikana.

Nadège Mulemba MTVDRC.