DRC

Wananchi wa DRC leo wamekumbuka maelfu ya watu wanao uwawa na kuendelea kuwawa na majeshi Jirani ambayo serikali inasema ni majeshi vaamizi

AGOSTI 01, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wananchi Meja Generali PETER CIRIMWAMI gavana waa Kivu Kaskazini asema kuna mauaji ya kimbari inayo fanyika nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika uangaliza wa Umoja wa Mataifa na mataifa mengine lakini wakika kiimia swala ambalo raia wa Congo wanata kuonesha ulimwengu.

Serikali ikisema kuna ukimia usio eleweka kuhusu mzozo wa Drc ambao umesababisha maelfu ya watu kupoteza Maisha na wengine kubakwa katika uangalizi wa Jumhia ya kimataifa.Placide nzilamba ni wa shirika la raia Goma.

Leo taifa la DRC likianza kumbukumbu ya mauaji ya malefu ya raia wa Congo wanao poteza Maisha kutokana na majeshi ya uvaamizi na makundi yenye kutoka mataifa Jirani .akisema Mumbere Bwana Pua mbunge wa Goma.

Sherehe zimefanyika katika miji mbali mbali ya DRC ikiwemo Mji wa KISANGANI,Beni na Goma ambako maafa hayo imekita mzizi na watu kuendelea kubakwa na watu wenye silaha.

AM/MTV News DRC