DRC

Wanainchi waitwa kuua wazoefu wa michezo kwa kuepuka magonjwa ya kisaikologia

news image

Asema dokeza Crispin Paluku Mughenderwa, muuguzi anayetibu watu kisaikologia kwenye kituo cha afya cha Mambowa katika mutaa wa afya biena wilayani lubero.

Akizungumuza na wakaazi wakati wakusherekea Siku kuu ulimwengu ya kupiganisha magonjwa ya akili.ilio sherekewa kwenye Madha makuu kujitolea kwa kureboresha afya kwenye kazi Dactari Paluku alionyesha kwamba umuhimu wa michezo katika maisha ya binadamu kwa kulinda afya yake.

Paluku ameomba wakaaji kuwa na uzoefu wakushiriki michezo ya watoto kama mupira,michezo ya kamba,.... Kwa kulinda afya nzuri akisema Dactari Mughenderwa Crispin

Michezo ili andaliwa katika eneo hilo la Lubero kama njia moja ya kuonesha umuhimu na ubora kwakulinda afia kupitia michezo.

Kwa Upande wa walio shirika michezo pamoja n'a mafundisho mbalimbali wali ahidia kuendelea kushiriki michezo nyumbani mwao ili wawe na afya nzuri.

Abel Tsongo /Lubero Mangurudjipa