DRC

Wanahabari mashariki mwa Congo waombwa kushinikizwa kipsycholojia kutokana na hali ngumu wanayo pitia

JULAI 22, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wanahabari Mjini Goma Rozali Zawadi mkuu kiongozi wa wnahabari Kivu Kaskazini asema kwa sasa wanahabari wapitia Maisha magumu na hofu ya kupatwa na magon jwa ya Tromatism yaani Psycholjia kutokana na vita vya kila siku wanavyo ripoti.

Zaawadi ameongeza kuwa hali ya Maisha ya wanahabari ni mbaya kutokana na mapato madogo .

Wanahabari nchini DRC hasa mikoa miwili ya mashariki mwa Congo ikiwemo Kivu Kaskazini na Ituri wanapitia hali mbaya ambaya yaa waathiri kipsycholojia kutokana na kuripoti vita kila siku ,vita ambavyo vimewagusa ki psycholojia .

Wengi wakijaribu kujipa raha kutumia pombe lakini wana sekolojia wakisema utumiaji pombe kali ama pombe sio suluhisho kumaliza matatizo unayo tokana na msongo wa mawazo .wengi wakisema wame zaliwa ,kukomaa na kuishi ndani ya vita vya mara kwa mara .swala ambalo lahitaji ushindikizwaji kisekolojia muhimu.

AM/MTV News DRC