DRC
Wanachama Wa Ujumbe Wa Umoja Wa Afrika Watembelea Goma Kuchunguza Hali Iliyopo Mashariki Mwa DRC
DISEMBA 06, 2024
Wabunge hao wakiwa kutoka Ghana, RSA, Djibouti, Sudan Kusini, Somalia, Benin, DRC.
Wamezungumza na kamati ya usalama ya mkoa inayoongozwa na Gavana wa Kivu Kaskazini, mkuu wa ofisi ya MONUSCO huko Kivu Kaskazini,rais wa bunge la mkoa, uwakilishi wa maungamo ya kidini, asasi za kiraia, vijana pamoja na wanachama wa mashirika ya wanawake katika Mkoa.
Baada ya mikutano hii, wanapanga kwenda katika moja ya maeneo ya watu waliohamishwa ambayo yanapatikana karibu na jiji la Goma.