TANZANIA

Wakuu viongozi wa majeshi ya SADEC wahitimisha kikao chao cha siku nne mjini Goma Kivu Kaksaini mashariki mwa Congo

MACHI 03, 2024
Border
news image

Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Nchi Zinazochangia Wanajeshi wa SAMIRDC, Burundi na DRC wahitimisha kikao chao Mjini Goma ambako wanakutana tangu juma nne .

Viongozi hawa wa kijeshi wameafikiana kuhudumisha amani na usalama kote mashariki mwa Congo Hasa Kivu Kaskazini ,Maazimio kadhaa ikiwa imechukuliwa chukuliwa mwishoni mwa mkutano muhimu uliofanyika katika hoteli ya SERENA mjini Goma kabla ya kuondoka kwao

Viongozi hawa waletembelea Sake mustari wa Mbele wa Mapigano ambako wali jionea wenyewe hali halisi ya kiusalama na namna waasi wa M23 wamekuwa wakishambulia ngome za vikosi vya SADEC ,hatua nyingi ikibaki siri za kijeshi.

Msemaji wa jeshi la Congo Meja Generali EKENGE akisema kwamba viongozi hao wamekubaliana kwa pamoja kuleta usalama mashariki mwa Congo katika ushirikianao na serikali ya Congo .

AM/MTV DRC ONLINE