DRC BULENGO

WAKIMBIZI WA WILI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE ZAIDI YA ISHIRINI KUJERUHIWA BAADA YA MVUA KATI KUWASHAMBULIA KATIKA KAMBI YA BULENGO.

MACHI 15, 2024
Border
news image

Furahini katalinda Hangi ni Jirani wa mama alie fariki Dunia baada ya kuangukiwa na Muti wakati wa mvua kali ilio kuwa na kimbuka kilicho sababisha hasara kubwa kwa wakimbizi katika Kambi ya Bulengo.Furahini ansema yeye kama akina mama anasikitishwa kuona Jirani wake anae musalimia kila siku kufariki Dunia katika mazingira ambayo haikutarajiwa ya Mvua .

Wakimbizi wakisema kwa sasa wapitia hali ngumu ya maisha huku wengi akina mama wakilalamikia ubakaji ambao umeshika kasi katika kam bi ya bulengo,namnukuu,nashangaa sana kuona hata mama Mzee wa miaka Zaidi ya sitini kubakwa na watu wenye hakili nasikitika sana sana kwani Jirani yangu ni mkimbizi tena Mzee lakini alibakwa na vijana mpaka nika shaangaa mimi.

Hali hii mimi nilikuwa sija wai kuishudia asema mama Huku FARAHNI HANGI wakati alipokuwa akitazama nyumba ya Jirani wake ambae alifariki Dunia na kuacha Watoto wachanga ambao haijulikane watalindwa na nani. Wakiwa na uzuni wakimbizi katika kambi ya Bulengo hasa wanawake wanasema wamehathirikan sana na vita mashariki mwa Congo hasa vya M23 na jeshi la serikali ,nyumba zao zikiwa zimesha ikaliwa na waasi wa M23 ambao waomba mazungumuzo na serikali kama njia moja ya mazungumuzo.

AM /MTV DRC ONLINE