DRC

DRC WAKIMBIZI KAMBINI NYIRAGONGO

JANUARI 30, 2024
Border
news image

WAZAZI WAKIMBIZI WANAO KIMBIA VITA VYA M23 NA JESHI LA SERIKALI WANAO PATIKANA BUSHAGARA WAHITAJI MUSAADA WA CHAKULA NA TIBA.

Ngaruye Nakumuremi Odette wa miaka arobaini akiwa mama wa watoto tano mukimbizi kutoka mtaa wa Rutsuru huko kalengera kwa sasa anaishi ndani ya kambi ya Bushagara. Ni karibu miezi nane ndiyo amemaliza ndani ya kambi ya Bushagara baada ya kukimbiya vita vya wanamgambo M23 vilivio ripotiwa huko miezi nenda rudi ambayo imepita.

Humo kambini mama huyu waendeleya kupitiya maisha magumu kufwatana na kukosewa musaada wa viakula na visivio viakula kwa ajili ya kujibu kwa mahitaji yake.

Odette Nakumuremi aishi ndani ya kambi hiyo kwa uchuuzi wa nyama ya ngombe lakini akiwa na mutaji mdogo wa kununua kilogramu tano ya nyama. Lakini sehemu nyingine ya juu, ni nyama anayo jikopesha kwa wale wanao chuna wanyama na kulipa kiisha kuuza. Na hiyo ndiyo inaendeleya kumu saidiya kuleya watoto wake. Huyu ali kimbiya vita vya M23 mwaka moja baada ya kifo cha mumewe

MTV Tanzania