DRC

Wakaazi na wananchi mashariki mwa Congo waomba serikali ya Waziri mkuu Judith Suminwa kuwajibika kwa ajili ya krejesha amani na usalama

JUNI 26, 2024
Border
news image

Wakizungumuza na MTV kwenye uwaanja wa ndege wa Goma Kivu Kaskazini ambako wamekaa kwa muda mrefu kusubiri wa ziri mkuu Judhith Suminwa wakaazi wa Goma nae neo mbali mbali wengi ni wakimbizi kwa sasa waomba Waziri kuwapa usalama akisema Olivier Kakoti Mbunge wa Nyiragongo.

Wengi kwa upande wao wakiwa wakimbizi waomba kukutana na Waziri mkuu kuhusu shida wanazo pitia akisema BUNAKIMA MUTABIRA mmoja wa wafuasi wake Judithu Suminwa .

Suminwa amewasli Mjini Goma jioni baadaya Mji wa Bukavu ambako alihudhuria sherehe za kuondoka kwa MONUSCO eneo Hilo .Mjini Goma Suminwa anakutana na wakuu wa usalama wa mkoa ,shirika za kiraia ,wanawake na taasisi nyingine Pamoja na viongozi wa kiasili.

Waziri mkuu amewasili Mji Goma wakati usalama bado ni duni kwenye uwanja wa Mapigano baada ya kambi ya wanajeshi wa SADEC kushambuliwa kwa bomu na sita miongoni mwao kujeruhiwa na mmoja kufariki Dunia katika Mji wa sake Kata ya mubambiro wilayani massisi Magharibi mwa Mji wa Goma.

AM/MTV News DRC