DRC KUNDA /IRUMU WA WILAYANI ITURI

MA ELFU YA WAKAAJI WA KIJIJI KUNDA WILAYANI IRUMUNA PEMPEZONI MWAKE WA KIMBIA MAKAAZI YAO KUTOKANA NA UKOSEFU WA USALAMA

FEBRUARI 06, 2024
Border
news image

Wakaaji hawa wame ya kimbiya makaazi yao kufwatana na mapigano iliyo pitika ndani ya kijiji chao juma mosi tarehe tatu February elfu mbili ishirini na ine kwa saha za jioni kati ya kikundi cha wanamgambo kina kilima na kingine kikundi cha waasi waliyoko huko.

Mapambano haya yalitokeya sababu ya kupiganiya uongozi wa kijiji hicho ambayo ni center ya kibiashara na kiuchumi katika eneo hilo kila kundi lataka ndilo liongoze kijiji hicho waliripoti viongozi wa mahaliya. Mutafahamu ya kwamba, hivi vikundi viwili vya wa asi via endeleya kuzozana katika malengo ya kuchimba madini na kuyavuna rasilimali ya maeneo hayo.

Kwa mjibu wa viongozi wa kijeshi eneo hilo, matokeo kamili ya mapigano hiyo bado kulikana lakini kwa sasa eneo hilo laongozwa na jeshi tiifu kwa serekali ya Drc. Hiyo ni baada ya kuwafieka mbali wahalifu hawa wanao endeleya kuzalilisha usalama wa wana inchi wakitowa wito kwa wa Kaaji walio ya kimbiya makaazi yao kurejea ndani ya makaazi yao.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online