DRC /NYIRAGONGO

UKOSEFU WA MAJI TOSHA KATIKA KAMBI YA KIMBIZI WILAYANI YA ZUSHA WASIWASI YA KUZUKA KIPINDU PINDUPINDU .

FEBRUARI 29, 2024
Border
news image

Wakaaji walio kimbiya makaazi yao kutokana na vita vya uasi wa M23 na wanao patikana ndani ya kambi mbali mbali Zinazo patikana pempezoni mwa muji wa Goma, wakaazi hao wa pikitia matatizo kwa ajili ya Kupata maji safi.

Ifahamike kwamba maji ambayo kila mara yawasilishwa kwenye kambi za Wakimbizi ya onekana kuwa haitoshi kulingana na uwingi wa wakaaji wanao ishi ndani ya makambi. mfamo ndani ya kambi ya Don Bosco Ngangi ambayo inakuwa na ma elfu za Wakimbizi, kupata maji yaendeleya kuwa chanjo cha mapigano kwenye Bomba la maji kila mtu akitamani awe wa kwanza kushota ya nyumbani . Hali hiyo imesabisha kutokuheshimiyana kwa walio wengi, wanawake na watoto wanapo piganiya maji ndani ya kambi.

Ukosefu wa Maji katika kambi na utumiaji wa vitu vichafu yaweza piya kuwa chanjo cha kuzuka kwa kipindu pindu. Mwito kwa serikali kufanya jitihada zote ili wakaazi walio kimbia makaazi yao kutokana na vita vya M23 na serikali FARDC wapate huduma Muhimu wengi wakiwa na watoto ambao hawaendi tena shuleni.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online