DRC CONGO CENTRAL

UGONJWA WA SULUBA WARIPOTIWA KWA UWINGI MKOANI CONGO CENTRAL

news image

izara ya Afia mkoani Congo Central yasema visa zaidi ya elfu mbili vya ugonjwa wa suluba vime ripotiwa katika mkoani Congo central katika wilaya ishirini na tano ya afia ambayo ndiyo ime asirika sana dhidi ya mitaa thelatini na moja Zinazo patikana mkoani Congo centrale.

kuongezeka kwa ugonjwa wa suluba katika eneo hilo,wizara ya Afia kikisema kwasasa kunaandaliwa chanjo dhidi ya ugonjwa huo mbaya kwa watoto wa miaka sifuri hadi miaka mitano kwa ajili ya kupambana na maradhi.

Viongozi wahusikao na maswala ya afia eneo hilo wametoa wito kwa wakaaji kuendeleya kutoa mwito kwa wazazi ili waharakishe watoto kwenye vituo vya afia. ikiwa mtoto ana dalili za ongezeko la joto mwilini kwani hiyo joto ni miongoni mwa alama yaani dalili zinazo onesha maradhi hayo ya suluba.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV DRC ONLINE