DRC BENI

Shughuli za rudi Mjini Beni jioni hii baada ya mgomo ulio shuhudiwa tangua asubui wakaazi wakipinga mauaji ya kinyama dhidi yao.

Aprili 16, 2024
Border
news image

Wakaazi wa Mji wa Beni Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo wameanza mgomo wa siku tatu shughuli zote zikisimama ikiwemo ,duka ushafirishaji na biashara kama halama ya kutoa mwito kwa rais wa Congo kusimamisha mauaji inayo tekelezwa na watu wanao dhaniwa kuwa ADF Mjini Beni kata Sayo. Kahindo Rebecca mkaazi wa Beni. Kambale Musa mkaazi wa Beni Asema kwa sasa wamechosha na hali ya mauaji Mjini Beni na vijiji vyake . ( tumechoka kwa sasa na haya mauajin ,mama zetu wamekufa ,mayatima ni wengi hatujui tunakwenda wapi hatujui kwa nini serikali inakaa kimia ama inajua kwa nini tunakufa ,sisi hatujaelewa kwanini MONUSCO wako hapa kwa Muda mrefu wakisema walikuja kulinda wakaazi lakini wakati wa mauaji wakaa kimia ,hawa watakuwa wanafahamu hii mambo ya mauaji kwani kuna wa MONUSCO wengi Mavijiji na silaha nzito hata Drone tunachoka sisi) Watu Zaidi ya arbaini wakiwa wameuwawa katika kata ya Sayo magharibi mwa Mji wa Beni akisema Pepe Kavota mratibu wa mashirika ya kiraia Mjini Beni ,wengi wao wakiwa wakulima walio katwa kwa mapanga hasa wanawake akisema PEPE KAVOTA mratibu wa mashirika ya kiraia Mjini Beni. (( kwangu naweza sema kwamba tulihesabu watu arbaini na mbili ambao wamekufa wengi wao ni wanawake ,wameuwawa katika mwezi mmoha ,mauaji mabaya ni haya ya SAYO ambayo kwakweli imetuletea shaka kubwa ,MONUSCO walisema wana Drones lakini wana kaa kwako kimia na Drones zao ,ningeomba MONUSCO iache jeshi letu la FARDC na UPDF wapambane na ADF kwani sisi hatuoni kazi za hii MONUSCO ,ina miaka nyingi hapa sijui ka a hii kundi ndogo la ADF ndio laweza shinda MONUSCO yaani Umoja wa Mataifa ,kuna upuuzi sehemu fukani.wakaazi wa Beni wanao amani.

Kuhusu maandamano ,ni kwamba raia wana haki,mutu akilia ndugu zake huwezi kukataza ni kawaida ila naomba utaratibu katika mgomo na jioni hii naona pikipiki zimeanza kazi )akisema Pepe Kavota. Mkaazi mwengine alie kubali kuzungumuza na MTV NEWS DRC kwa jina la Kahindo asema: 9(( kwa sasa tuna uhoga kwani Sayo ni kilometa sab ana sisi ,hii inaonesha kwamba hawa adui wako karibu na sisi ,mimi nimejificaha nyumbani nalala,tulikuwa na amani kidogo hapa Mjini Beni lakini ona sasa wanaua watu baada ya sisi kuchangua japo tulichagua kuomba amani lakini inaumiza sana)). Beni kukiwa wanajeshi wengi wa MONUSCO kikosi cha Uganda UPDF na jeshi la Congo FARDC Pamoja na polisi wakishindwa kuzima mauaji kwa Zaidi ya miaka kumi sasa. Wkaazi wakiomba Rais wa Congo kuwahoji makamanda wa operesheni za kijeshi eneo la Beni kuhusu maelfu ya watu wanao uwawa bila kukamatwa japo huapata taarifa hata kabla ya mauaji wakisema LUCHA.

AM/MTV DRC ONLINE.