DRC MANGINA /BENI

SHIRIKA LA RAHIYA MJINI MANGINA LA OMBA SEREKALI YA DRC KUHUDUMISHA USALAMA WA WAKAAJI DHIDI YA UASI WA ADF NALU

JANUARI 30, 2024
Border
news image

Wito huo ume tolewa na viongozi wa shirika la kirahiya mjini Mangina, baada ya vitendo viengi vya ujambazi na mauaji ambavio wakaaji wana endeleya ku kumbana navio mutaani Beni. Kisa cha hivi karibuni ni kile cha kijiji kaza roho kilicho vaamiwa wikende iliyo pita na wa asi ADF.

Baada ya kupita eneo hilo, duru za sema ya kwamba waasi hawa Wali jielekeza mashambani eneo la Mantumbi, Makumo na Mangina. Wakaaji wa vijiji jirani eneo hizo waishi ndani ya hofu kubwa kufwatana na vitendo zalimu wanao endesha kila mara majambazi hawa.

Viongozi wa shirika la kirahiya eneo hilo, waomba jeshi la serekali YaDRC kuzidisha operesheni za kijeshi eneo wali jielekeza kwa ajili ya kumalima uasi huo ambao ume zalilisha usalama wa wakaaji kwa muda wa siku nyingi. Piya wakiomba kwa wakaaji wanao kuwa mashambani kurejea mjini kwa ajili ya kuepukana na misiba inayo weza tokea kwa siku za usoni.Photo Allafrica. Com.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online