DRC

Serkali Kivu Kaskazi Yapunguza Malipo kwa Wanafunzi wa Somo la Sita Watakao Shiriki Mtihani Mkuu

MACHI 02, 2024
Border
news image

PETER CIRIMWAMI Gavana wa kijeshi wa Kivu Kaskazini ameomba kuwe na ushirikiano wa bure wa wanafunzi waliohitimu katika mitihani ya serikali na wizara ya elimu ya msingi, sekondari na ufundi ya Kongo. Hii Machi 2, 24 mamlaka ya mkoa imekutana na kiongozi makamu wa mashirika ya kiraia ya Kivu Kaskazini.

Wakati huo huo, Meja Jenerali Peter Cirimwami Nkuba ametangaza kupunguzwa kwa ada za ushiriki wa mtihani ambazo zilipangwa kuwa 130,000 kwa 100,000 wakati akisubiri majibu kutoka kwa wizara ya usimamizi ili kujiridhisha na asasi za kiraia.

JOHN BANYENE APPELL hivyo atoa wito kwa wazazi kuandaa watoto wa Kivu Kaskazini kushiriki kwa wingi katika matukio haya na kushukuru mkuu wa mkoa kwa ukaribu wake na wakazi.

Wakati mkoa huu upo katika vita , gavana wa muda wa kijeshi wa Kivu Kaskazini aomba wakaazi wote wa kivu kaskazini dhidi ya uvaamizi mapigano dhidi ya uasi wa M23 ili kuwe Amani na usalama,muungano ndio nguvu Gavana asema.

MTV ONLINE