DRC

Serikali ya Kongo, kupitia Waziri wa Biashara, Julien Paluku Kahongya, yapiga marufuku kuingia kwenye udongo wake aina nane ( 8) za unga wa mahindi kutoka Zambia uliochafuliwa na aflatoxin

AGOSTI 25, 2024
Border
news image

Wizara ya biashara yasema mahindi hayo sio nzuri kwa afia ndio sababu ya hatua hiyo .hadi sasa serikali ya zambia ikiwa haija jibu lolote kuhusu hatua hiyo mpya ilio chukuliwa na serikali ya DRC.

Wizara ikiomba wanao husika na huduma mbali mbali mipakani kutekeleza hatua hii.

AM/MTV News DRC